\v 25 Yehova hurarua urithi wa mwenye kiburi, bali huzilinda mali za mjane. \v 26 Yehova huyachukia mawazo ya watu waovu, bali maneno ya upole ni safi.