sw_pro_text_reg/28/21.txt

1 line
179 B
Plaintext

\v 21 Siyo vema kuonyesha upendeleo, lakini kwa kipande cha mkate mtu atafanya ubaya. \v 22 Mtu mchoyo huharakisha kwenye utajiri, lakini hajui ni umasikini gani utakuja juu yake.