sw_pro_text_reg/31/30.txt

1 line
157 B
Plaintext

\v 30 Madaha ni udanganyifu, uzuri ni ubatili; bali mwanamke amchaye Yehova, atasifiwa. \v 31 Mpeni tunda la mikono yake na kazi zake zimsifu katika malango.