sw_pro_text_reg/10/12.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 12 Chuki huchochea mafarakano, bali upendo hufunika juu ya makwazo yote. \v 13 Hekima inapatikana kwenye kinywa cha mtu mwenye ufahamu, bali fimbo ni kwa ajili ya mgongo wa yule asiye na akili.