\v 6 Zawadi kutoka kwa Mungu zipo juu ya kichwa cha wale watendao haki; bali kinywa cha uovu hufunikwa kwa jeuri. \v 7 Mtu atendaye haki anatufurahisha tunapomkumbuka, bali jina la mwovu litaoza.