sw_pro_text_reg/23/22.txt

1 line
155 B
Plaintext

\v 22 Msikilize baba yako ambaye alikuzaa na usimdharau mama yako wakati akiwa mzee. \v 23 Inunue kweli, lakini usiiuze; nunua hekima, nidhamu, na ufahamu.