sw_pro_text_reg/19/09.txt

1 line
165 B
Plaintext

\v 9 Shahidi wa uongo hatakosa kuadhibiwa, bali mwenye kupumua uongo ataangamia. \v 10 Haifai kwa mpumbavu kuishi kwa anasa, wala kwa mtumwa kutawala juu ya wafalme.