sw_pro_text_reg/14/23.txt

1 line
190 B
Plaintext

\v 23 Katika kazi zote ngumu huja faida, bali palipo na maongezi tu, huelekea kwenye umasikini. \v 24 Taji ya watu wenye busara ni utajiri wao, bali upuuzi wa wapumbavu huwaletea upuu zaidi.