sw_pro_text_reg/10/26.txt

1 line
165 B
Plaintext

\v 26 Kama siki kwenye meno na moshi kwenye macho, ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. \v 27 Hofu ya Yehova huongeza maisha, bali miaka ya waovu itakuwa mifupi.