sw_pro_text_reg/26/03.txt

1 line
184 B
Plaintext

\v 3 Mjeledi ni kwa ajili ya farasi, hatamu kwa ajili ya punda na fimbo ni kwa ajili mgongo wa wapumbavu. \v 4 Usimjibu mpumbavu na kujiunga katika upumbavu wake, au utakuwa kama yeye.