sw_pro_text_reg/23/34.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 34 Utakuwa kama anayelala kwenye bahari au anayelala juu ya mlingoti. " \v 35 Wamenipiga," utasema, " lakini sikuumia. Wamenichapa, lakini sikuwa na hisia. Nitaamka lini? Nitatafuta kinywaji kingine."