sw_pro_text_reg/23/31.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 31 Usiutazame mvinyo ukiwa mwekundu, wakati unametameta kwenye kikombe na kutelemka kwa uraini. \v 32 Mwisho wake unauma kama nyoka na sumu yake kama kifutu. \v 33 Macho yako yataona vitu vigeni na moyo wako utatamka vitu vya ukaidi.