sw_pro_text_reg/23/29.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 29 Nani mwenye taabu? Nani mwenye huzuni? Nani mwenye mapigano? Nani mwenye malalamiko? Nani mwenye majeraha bila sababu? Nani mwenye macho mekundu? \v 30 Ni wale ambao wakaao kwenye mvinyo, wale wanaojaribu kuchanganya mvinyo.