sw_pro_text_reg/23/26.txt

1 line
235 B
Plaintext

\v 26 Mwanangu, nipe moyo wako na macho yako yachunguze njia zangu. \v 27 Maana malaya ni shimo refu, na mke wa mume mwingine ni kisima chembamba. \v 28 Anavizia kama mnyang'anyi na huongeza idadi ya wadanganyifu miongoni mwa wanadamu.