sw_pro_text_reg/23/19.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 19 Sikia wewe! mwanangu, na uwe mwenye busara na uelekeze moyo wako katika njia. \v 20 Usishirikiane pamoja na walevi, au pamoja na walaji wa nyama walafi, \v 21 maana mlevi na mlafi wanakuwa masikini na usingizi utawavika kwa matambara.