sw_pro_text_reg/23/06.txt

1 line
278 B
Plaintext

\v 6 Usile chakula cha yule mwenye jicho baya na usiwe na shauku ya vinono vyake, \v 7 maana ni mtu mwenye kuhesabu gharama ya chakula. "Kula na kunywa!" anakuambia, lakini moyo wake haupo pamoja nawe. \v 8 Utatapika kiasi kidogo ulichokula na utakuwa umepoteza sifa zako njema.