sw_pro_text_reg/22/17.txt

1 line
275 B
Plaintext

\v 17 Tega sikio lako na usikilize maneno ya wenye busara na tumia moyo wako katika maarifa yangu, \v 18 maana itakuwa furaha kwako kama utayaweka ndani yako, kama yote yatakuwa katika midomo yako. \v 19 Basi tumaini lako liwe kwa Yehova, ninayafundisha kwako leo hata kwako.