sw_pro_text_reg/21/30.txt

1 line
178 B
Plaintext

\v 30 Hakuna hekima, hakuna ufahamu, na hakuna shauri linaloweza kusimama kinyume na Yehova. \v 31 Farasi hutayarishwa kwa siku ya mapigano, lakini ushindi hupatikana kwa Yehova.