sw_pro_text_reg/21/21.txt

1 line
157 B
Plaintext

\v 21 Mtu atendaye haki na mwema huyu mtu hupata uzima, haki na heshima. \v 22 Mtu mwenye busara huupima mji wa mashujaa, na huiangusha ngome wanayoitumaini.