sw_pro_text_reg/21/17.txt

1 line
174 B
Plaintext

\v 17 Anayependa raha atakuwa masikini; anayependa divai na mafuta hawezi kuwa tajiri. \v 18 Mtu mbaya ni fidia kwa yule atendaye haki, na mdanganyifu ni fidia kwa waaminifu.