sw_pro_text_reg/21/09.txt

1 line
169 B
Plaintext

\v 9 Bora kuishi kwenye kona ya juu darini kuliko katika nyumba pamoja na mke mgomvi. \v 10 Hamu ya mwovu ni uchu wa mabaya; jirani yake haoni ukarimu katika macho yake.