sw_pro_text_reg/20/23.txt

1 line
154 B
Plaintext

\v 23 Yehova huchukia mizani isiyo sawa na vipimo vya udanganyifu si vizuri. \v 24 Hatua za mtu huongozwa na Yehova; namna gani basi ataifahamu njia yake?