sw_pro_text_reg/20/15.txt

1 line
214 B
Plaintext

\v 15 Ipo dhahabu na mawe ya thamani, lakini midomo yenye maarifa ni kito cha thamani. \v 16 Chukua vazi kama mmiliki wake ataweka fedha kama dhamana kwa deni la mgeni, na lichukue kama anaweka dhamana kwa uzinifu.