sw_pro_text_reg/18/23.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 23 Mtu masikini huomba rehema, lakini mtu tajiri hujibu kwa ukali. \v 24 Anayejidai kwa marafiki wengi watamleta katika uharibifu, bali yupo rafiki ambaye huwa karibu kuliko ndugu.