sw_pro_text_reg/18/13.txt

1 line
149 B
Plaintext

\v 13 Anayejibu kabla ya kusikiliza ni upuuzi na aibu yake. \v 14 Roho ya mtu itajinusuru na madhara, bali roho iliyopondeka nani anaweza kuivumilia?