sw_pro_text_reg/18/03.txt

1 line
179 B
Plaintext

\v 3 Mtu mwovu anapokuja, dharau huja pamoja naye sambamba na aibu na shutuma. \v 4 Maneno ya kinywa cha mtu ni maji yenye kina kirefu; chemchemi ya hekima ni mkondo unaotiririka.