sw_pro_text_reg/18/01.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 1 Yule ambaye hujitenga hutafuta matakwa yake mwenyewe na hupingana na hukumu zote za kweli. \v 2 Mpumbavu hapati raha katika ufahamu, lakini hufunua kile kilichopo katika moyo wake.