sw_pro_text_reg/17/27.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 27 Mwenye maarifa hutumia maneno machache na mwenye ufahamu ni mtulivu. \v 28 Hata mpumbavu hudhaniwa kuwa na busara kama akikaa kimya; wakati anapokaa amefunga kinywa chake, anafikiriwa kuwa na akili.