sw_pro_text_reg/17/11.txt

1 line
178 B
Plaintext

\v 11 Mtu mbaya hutafuta uasi tu, hivyo mjumbe katiri atatumwa dhidi yake. \v 12 Ni bora kukutana na dubu aliyeporwa watoto wake kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.