sw_pro_text_reg/17/05.txt

1 line
163 B
Plaintext

\v 5 Mwenye kumdhihaki masikini humtukana Muumba wake na anayefurahia msiba hatakosa adhabu. \v 6 Wajukuu ni taji ya wazee na wazazi huleta heshima kwa watoto wao.