sw_pro_text_reg/16/31.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 31 Mvi ni taji ya utukufu; hupatikana kwa kuishi katika njia ya haki. \v 32 Ni bora kukawia kuwa na hasira kuliko kuwa shujaa na mwenye kutawala roho yake ni imara zaidi kuliko yule anayeuteka mji.