sw_pro_text_reg/16/29.txt

1 line
202 B
Plaintext

\v 29 Mtu wa vurugu humdanganya jirani yake na kumwongoza kwenye mapito ambayo si mema. \v 30 Yule anayekonyeza kwa jicho anapanga njama za mambo ya ukaidi; wenye kuandama midomo yao watapitisha mabaya.