sw_pro_text_reg/16/17.txt

1 line
187 B
Plaintext

\v 17 Njia kuu ya watu waadilifu hujitenga na ubaya; mwenye kuyahifadhi maisha yake huilinda njia yake. \v 18 Kiburi hutangulia kabla ya uharibifu na moyo wa kujivuna kabla ya maangamizi.