sw_pro_text_reg/16/11.txt

1 line
198 B
Plaintext

\v 11 Vipimo vya kweli hutoka kwa Yehova; uzito wote kwenye gunia ni kazi yake. \v 12 Wafalme wanapofanya mambo maovu, hicho ni kitu cha kudharauliwa, kwa maana utawala huimarishwa kwa kutenda haki.