sw_pro_text_reg/13/21.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 21 Maafa huwakimbilia wenye dhambi, bali wale watendao haki hupewa thawabu kwa mema. \v 22 Mtu mwema huacha urithi kwa wajukuu wake, bali mali ya mwenye dhambi huwekwa akiba kwa yule atendaye haki.