sw_pro_text_reg/12/11.txt

1 line
228 B
Plaintext

\v 11 Yule atendaye kazi katika shamba lake atapata chakula tele, bali anayesaka miradi duni hana akili. \v 12 Watu waovu hutamani wanavyoiba watu wabaya kutoka kwa wengine, bali tunda la wale watendao haki hutoka kwao mwenyewe.