sw_pro_text_reg/12/07.txt

1 line
172 B
Plaintext

\v 7 Watu waovu wametupwa na kuondolewa, bali nyumba ya wale watendao haki itasimama. \v 8 Mtu husifiwa kwa kadri ya hekima yake, bali yule anayechagua ukaidi hudharauliwa.