sw_pro_text_reg/12/05.txt

1 line
193 B
Plaintext

\v 5 Mipango ya wale watendao haki ni adili, bali shauri la mwovu ni udanganyifu. \v 6 Maneno ya watu waovu ni uviziaji unaosubiri nafasi ya kuua, bali maneno ya mwenye haki yatawatunza salama.