sw_pro_text_reg/11/21.txt

1 line
206 B
Plaintext

\v 21 Uwe na uhakika juu ya hili watu waovu hawatakosa adhabu, bali uzao wa wale watendao haki watawekwa salama. \v 22 Kama pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe ndiyo alivyo mwanamke mzuri asiye na busara.