sw_pro_text_reg/11/07.txt

1 line
185 B
Plaintext

\v 7 Mtu mwovu anapokufa, tumaini lake hupotea na tumaini lililokuwa katika nguvu zake linakuwa si kitu. \v 8 Yule atendaye haki hulindwa katika taabu na badala yake taabu humjia mwovu.