sw_pro_text_reg/11/01.txt

1 line
153 B
Plaintext

\v 1 Yehova huchukia vipimo ambavyo havipo sahihi, bali hufurahia uzani dhahiri. \v 2 Kinapokuja kiburi, ndipo aibu huja, bali unyenyekevu huleta hekima.