sw_pro_text_reg/09/16.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 16 Wale ambao hamjafunzwa njoni hapa ndani!" anawaambia wale wasio na akili. " \v 17 Maji ya kuiba ni matamu na mkate unaoliwa kwa siri unapendeza." \v 18 Lakini hajui kwamba wafu wapo pale, wageni wake wapo kwenye vina vya kuzimu.