sw_pro_text_reg/09/10.txt

1 line
245 B
Plaintext

\v 10 Hofu ya Mungu ni chanzo cha hekima na maarifa ya Mtakatifu ni ufahamu. \v 11 Maana kwa njia yangu siku zako zitazidishwa na uzima wako utaongezewa miaka. \v 12 Kama unahekima, unahekima kwako mwenyewe, lakini ukidharau, utaibeba peke yako.