sw_pro_text_reg/08/35.txt

1 line
167 B
Plaintext

\v 35 Maana yeyote anionaye mimi, anapata uzima, naye atapata kibali kwa Yehova. \v 36 Na yeyote asiyeniona mimi, hujiumiza mwenyewe, wote wanaonichukia hupenda mauti.