sw_pro_text_reg/08/28.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 28 Nilikuwepo alipoimarisha anga la juu na wakati wa kutengeneza kina cha chemchemi. \v 29 Nilikuwepo alipotengeneza mipaka ya bahari, ili maji yasisambae kuvuka pale alipoyaamuru, na wakati anaamuru misingi ya dunia sehemu ya kukaa.