sw_pro_text_reg/08/26.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 26 Nilizaliwa kabla ya Yehova hajaiumba dunia wala makonde, hata mavumbi ya kwanza katika dunia. \v 27 Nilikuwepo alipoziimarisha mbingu, wakati alipochora mstari katika sura ya kilindi.