sw_pro_text_reg/08/12.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 12 Mimi, hekima, naishi kwa utaratibu, na ninamiliki maarifa na busara. \v 13 Hofu ya Mungu ni kuchukia uovu nachukia majivuno na kiburi, njia ya uovu, na kauli iliyopotoka- hivyo ninavichukia.