sw_pro_text_reg/07/01.txt

1 line
236 B
Plaintext

\c 7 \v 1 Mwanangu, yatunze maneno yangu na ndani yako udhihifadhi amri zangu. \v 2 Uzilinde amri zangu ili uishi na uyatunze mafundisho yangu kama mboni ya jicho. \v 3 Uyafunge katika vidole vyako; uyaandike katika kibao cha moyo wako.