sw_pro_text_reg/06/26.txt

1 line
200 B
Plaintext

\v 26 Kulala na malaya inaweza kugharimu bei ya kipande cha mkate, lakini mke wa mtu mwingine inagharimu uzima wako wote. \v 27 Je mtu anaweza kubeba moto katika kifua chake bila kuunguza mavazi yake?