sw_pro_text_reg/03/11.txt

1 line
181 B
Plaintext

\v 11 Mwanangu, usidharau kuadibishwa na Yehova na wala usichukie karipio lake, \v 12 maana Yehova huwaadibisha wale wapendao, kama baba anavyoshughulika kwa mtoto wake ampendezaye.